1 Samuel 25:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtukuze Mwenyezi-Mungu aliyekupa busara kwa kunizuia kuwa na hatia ya umwagaji damu na kujilipiza kisasi mimi mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ubarikiwe kwa uamuzi wako mzuri na kwa kunizuia nisimwage damu leo na kulipiza kisasi kwa mikono yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ibarikiwe busara yako, na ubarikiwe wewe, uliyenizuia hivi leo nisimwage damu, wala kujilipiza kisasi kwa mkono wangu mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtukuze Mwenyezi-Mungu aliyekupa busara kwa kunizuia kuwa na hatia ya umwagaji damu na kujilipiza kisasi mimi mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ubarikiwe kwa uamuzi wako mzuri na kwa kunizuia nisimwage damu leo na kulipiza kisasi kwa mikono yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ubarikiwe kwa uamuzi wako mzuri na kwa kunizuia nisimwage damu leo na kulipiza kisasi kwa mikono yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ibarikiwe busara yako, na ubarikiwe wewe, uliyenizuia hivi leo nisimwage damu, wala kujilipiza kisasi kwa mkono wangu mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtukuze Mwenyezi-Mungu aliyekupa busara kwa kunizuia kuwa na hatia ya umwagaji damu na kujilipiza kisasi mimi mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na yatukuzwe nayo mawazo yako! Na utukuzwe wewe nawe! Kwani umenizuia leo kukora manza za damu, nikitaka kujiponya kwa nguvu za mkono wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ibarikiwe busara yako, na ubarikiwe wewe, uliyenizuia hivi leo nisimwage damu, wala kujilipiza kisasi kwa mkono wangu mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umutukuze Yawe aliyekupa hekima kwa kunizuia kuwa na kosa la umwangaji wa damu na kujilipiza kisasi mimi mwenyewe.