1 Samuel 25:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi, Abigaili alipoona mumewe divai imemtoka, alimweleza mambo yote, na papo hapo Nabali akapooza, akawa kama jiwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi asubuhi, ulevi ulipokuwa umemtoka Nabali, mkewe akamwambia mambo yote, nao moyo wake ukazimia, akawa kama jiwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa asubuhi, divai ilipokuwa imemtoka Nabali, mkewe alimwambia mambo hayo, na moyo wake ukafa ndani yake, akawa kama jiwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi, Abigaili alipoona mumewe divai imemtoka, alimweleza mambo yote, na papo hapo Nabali akapooza, akawa kama jiwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi asubuhi, Nabali alipokuwa amelevuka, mkewe akamwambia mambo yote, nao moyo wake ukazimia, akawa kama jiwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi asubuhi, Nabali alipokuwa amelevuka, mkewe akamwambia mambo yote, nao moyo wake ukazimia, akawa kama jiwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa asubuhi, divai ilipokuwa imemtoka Nabali, mkewe alimwambia mambo hayo, na moyo wake ukafa ndani yake, akawa kama jiwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi, Abigaili alipoona mumewe divai imemtoka, alimweleza mambo yote, na papo hapo Nabali akapooza, akawa kama jiwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa asubuhi, Nabali alipolevuka kwa zile mvinyo, alizozinywa, mkewe akamsimulia mambo hayo; ndipo, moyo wake ulipozimia kifuani mwake, naye akawa kama jiwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa asubuhi, divai ilipokuwa imemtoka Nabali, mkewe alimwambia mambo hayo, na moyo wake ukafa ndani yake, akawa kama jiwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asubui, Abigaili alipoona kwamba divai imemutoka mume wake, alimwelezea mambo yote, na palepale Nabali akapooza, akakuwa kama jiwe.