1 Samuel 25:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku kumi baadaye, Mwenyezi-Mungu alimpiga Nabali akafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya siku kumi, Mwenyezi Mungu akampiga Nabali, naye akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ikawa, yapata siku kumi baadaye, Bwana alimpiga huyo Nabali, hata akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku kumi baadaye, Mwenyezi-Mungu alimpiga Nabali akafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya siku kumi, BWANA akampiga Nabali, naye akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya siku kumi, bwana akampiga Nabali, naye akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ikawa, yapata siku kumi baadaye, BWANA alimpiga huyo Nabali, hadi akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku kumi baadaye, Mwenyezi-Mungu alimpiga Nabali akafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku kumi zilipopita, Bwana akampiga Nabali, akafa
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ikawa, yapata siku kumi baadaye, BWANA alimpiga huyo Nabali, hata akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha siku kumi, Yawe alimupiga Nabali akakufa.