1 Samuel 25:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abigaili alifanya haraka, akainuka na kupanda juu ya punda wake, akifuatana na watumishi wake wa kike watano, akaenda na watumishi wa Daudi; naye akawa mke wa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abigaili akainuka kwa haraka, akapanda punda wake, akihudumiwa na wajakazi wake watano, akaenda pamoja na wajumbe wa Daudi, naye akawa mkewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abigaili akafanya haraka, akainuka, akapanda punda, pamoja na vijakazi watano wake waliofuatana naye, akawafuata hao wajumbe wa Daudi, akawa mkewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abigaili alifanya haraka, akainuka na kupanda juu ya punda wake, akifuatana na watumishi wake wa kike watano, akaenda na watumishi wa Daudi; naye akawa mke wa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abigaili akainuka kwa haraka, akapanda punda wake, akihudumiwa na wajakazi wake watano, akaenda pamoja na wajumbe wa Daudi, naye akawa mkewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abigaili akainuka kwa haraka, akapanda punda wake, akihudumiwa na wajakazi wake watano, akaenda pamoja na wajumbe wa Daudi, naye akawa mkewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abigaili akafanya haraka, akainuka, akapanda punda, pamoja na vijakazi wake watano waliofuatana naye, akawafuata hao wajumbe wa Daudi, akawa mkewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abigaili alifanya haraka, akainuka na kupanda juu ya punda wake, akifuatana na watumishi wake wa kike watano, akaenda na watumishi wa Daudi; naye akawa mke wa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Abigaili akaondoka upesi, akapanda punda, vijana wa kike watano wakimfuata nyayo zake, naye akawafuata wajumbe wa Dawidi, akawa mkewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abigaili akafanya haraka, akainuka, akapanda punda, pamoja na vijakazi watano wake waliofuatana naye, akawafuata hao wajumbe wa Daudi, akawa mkewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abigaili alifanya haraka, akasimama na kupanda juu ya punda wake, akifuatana na wajakazi wake watano, akaenda na watumishi wa Daudi. Akakuwa muke wake.