1 Samuel 25:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena Daudi alimwoa Ahinoamu kutoka Yezreeli. Hivyo hao wawili wakawa wake zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia Daudi alikuwa amemwoa Ahinoamu wa Yezreeli, wote wawili wakawa wake zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Daudi akamwoa Ahinoamu wa Yezreeli; wakawa wote wawili wakeze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena Daudi alimwoa Ahinoamu kutoka Yezreeli. Hivyo hao wawili wakawa wake zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Daudi alikuwa amemwoa Ahinoamu wa Yezreeli, wote wawili wakawa wake zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Daudi alikuwa amemwoa Ahinoamu wa Yezreeli, wote wawili wakawa wake zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Daudi akamwoa Ahinoamu wa Yezreeli; wote wawili wakawa wake zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena Daudi alimwoa Ahinoamu kutoka Yezreeli. Hivyo hao wawili wakawa wake zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Ahinoamu wa Izireeli Dawidi akamchukua, wote wawili wakawa wakeze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Daudi akamwoa Ahinoamu wa Yezreeli; wakawa wote wawili wakeze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena Daudi alimwoa Ahinoamu wa Yezereheli. Hivyo hao wawili wakakuwa wake zake.