1 Samuel 25:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia, “Nendeni kwa Nabali huko Karmeli mkampelekee salamu zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akatuma vijana kumi na kuwaambia, “Pandeni kwa Nabali huko Karmeli, mkamsalimie kwa jina langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akatuma vijana kumi, Daudi naye akawaambia hao vijana, Kweeni mwende Karmeli, na kumwendea huyu Nabali ili mnisalimie;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia, “Nendeni kwa Nabali huko Karmeli mkampelekee salamu zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akatuma vijana kumi na kuwaambia, “Pandeni kwa Nabali huko Karmeli na msalimieni kwa jina langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akatuma vijana kumi na kuwaambia, “Pandeni kwa Nabali huko Karmeli, mkamsalimie kwa jina langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akatuma vijana kumi, Daudi naye akawaambia hao vijana, Kweeni mwende Karmeli, na kumwendea huyu Nabali ili mkampe salamu zangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia, “Nendeni kwa Nabali huko Karmeli mkampelekee salamu zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akatuma vijana kumi; Dawidi akawaambia hao vijana: Pandeni Karmeli, mwende kwa Nabali kunisalimia kwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akatuma vijana kumi, Daudi naye akawaambia hao vijana, Kweeni mwende Karmeli, na kumwendea huyu Nabali ili mnisalimie;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia: “Mwende kwa Nabali kule Karmeli mumupelekee salamu zangu.