1 Samuel 25:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtamwambia kwamba Daudi anakusalimu hivi: ‘Amani iwe kwako, kwa jamaa yako na yote uliyo nayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwambieni: ‘Amani iwe kwako! Amani iwe kwako pamoja na wa nyumbani mwako! Pia amani iwe pamoja na vyote ulivyo navyo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hivi ndivyo mtakavyomwambia huyu aishiye salama, Amani na iwe kwako, na amani nyumbani mwako, na amani kwao wote ulio nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtamwambia kwamba Daudi anakusalimu hivi: ‘Amani iwe kwako, kwa jamaa yako na yote uliyo nayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msalimieni mkimwambia: ‘Amani iwe kwako! Amani iwe kwako pamoja na wa nyumbani mwako! Pia amani iwe pamoja na vyote ulivyo navyo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwambieni: ‘Amani iwe kwako! Amani iwe kwako pamoja na wa nyumbani mwako! Pia amani iwe pamoja na vyote ulivyo navyo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hivi ndivyo mtakavyomwambia huyu aishiye salama, Amani na iwe kwako, na amani nyumbani mwako, na amani kwao wote ulio nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtamwambia kwamba Daudi anakusalimu hivi: ‘Amani iwe kwako, kwa jamaa yako na yote uliyo nayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mmwambieni huyu ndugu yangu: Hujambo wewe? Nao wa mlango wako hawajambo? Nao wote walio wako hawajambo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hivi ndivyo mtakavyomwambia huyu aishiye salama, Amani na iwe kwako, na amani nyumbani mwako, na amani kwao wote ulio nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutamwambia kwamba Daudi anakusalimia hivi: ‘Amani ikuwe kwako, kwa jamaa yako na yote unayokuwa nayo.