1 Samuel 25:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale vijana wa Daudi walikwenda na kumwambia Nabali kama walivyoagizwa na Daudi. Halafu wakasubiri kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Daudi walipofika wakampa Nabali ujumbe huu kwa jina la Daudi. Kisha wakangojea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi walipofika vijana wake Daudi, wakamwambia Nabali sawasawa na maneno hayo yote kwa jina la Daudi, kisha wakanyamaza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale vijana wa Daudi walikwenda na kumwambia Nabali kama walivyoagizwa na Daudi. Halafu wakasubiri kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Daudi walipofika wakampa Nabali ujumbe huu kwa jina la Daudi. Kisha wakangojea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Daudi walipofika wakampa Nabali ujumbe huu kwa jina la Daudi. Kisha wakangojea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi walipofika vijana wake Daudi, wakamwambia Nabali kama walivyoambiwa na Daudi, kisha wakanyamaza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale vijana wa Daudi walikwenda na kumwambia Nabali kama walivyoagizwa na Daudi. Halafu wakasubiri kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vijana wa Dawidi walipofika kwake wakamwambia Nabali hayo maneno yote katika jina la Dawidi, kisha wakanyamaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi walipofika vijana wake Daudi, wakamwambia Nabali sawasawa na maneno hayo yote kwa jina la Daudi, kisha wakanyamaza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale vijana wa Daudi walikwenda na kumwambia Nabali kama walivyoagizwa na Daudi. Halafu wakangojea kidogo.