1 Samuel 26:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya wanaume kutoka mji wa Zifu walimwendea Shauli huko Gibea wakamwambia kwamba Daudi alikuwa anajificha kwenye mlima Hakila, upande wa mashariki wa Yeshimoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hao Wazifu wakamwendea Sauli huko Gibea na kusema, “Je, Daudi hakujificha katika kilima cha Hakila, kinachotazamana na Yeshimoni?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao Wazifi wakamwendea Sauli huko Gibea, wakasema, Je! Yule Daudi hakujificha katika kilima cha Hakila, kuelekea Yeshimoni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya wanaume kutoka mji wa Zifu walimwendea Shauli huko Gibea wakamwambia kwamba Daudi alikuwa anajificha kwenye mlima Hakila, upande wa mashariki wa Yeshimoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hao Wazifu wakamwendea Sauli huko Gibea na kusema, “Je, Daudi hakujificha katika kilima cha Hakila, kinachotazamana na Yeshimoni?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hao Wazifu wakamwendea Sauli huko Gibea na kusema, “Je, Daudi hakujificha katika kilima cha Hakila, kinachotazamana na Yeshimoni?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hao Wazifi wakamwendea Sauli huko Gibea, wakasema, Je! Yule Daudi hakujificha katika kilima cha Hakila, kuelekea Yeshimoni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi ya wanaume kutoka mji wa Zifu walimwendea Shauli huko Gibea wakamwambia kwamba Daudi alikuwa anajificha kwenye mlima Hakila, upande wa mashariki wa Yeshimoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwako Wazifu waliokuja Gibea kwa Sauli kumwambia: Je? Dawidi hajifichi katika kilima cha Hakila kinachoelekea jangwani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao Wazifi wakamwendea Sauli huko Gibea, wakasema, Je! Yule Daudi hakujificha katika kilima cha Hakila, kuelekea Yeshimoni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoja kati ya wanaume kutoka muji wa Zifu wakamwendea Saulo kule Gibea, wakamwambia kwamba Daudi alikuwa anajificha kwenye mulima Hakila, upande wa mashariki wa Yesimoni.