1 Samuel 26:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba Mwenyezi-Mungu mwenyewe atamuua Sauli; ama siku yake ya kufa itafika, au atakwenda vitani na kufia huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akasema, “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, Mwenyezi Mungu mwenyewe atampiga; au wakati wake utafika, naye atakufa, au ataenda vitani na kuangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akasema, Aishivyo Bwana, Bwana atampiga; au siku yake ya kufa itampata; atashuka kwenda vitani na kupotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba Mwenyezi-Mungu mwenyewe atamuua Sauli; ama siku yake ya kufa itafika, au atakwenda vitani na kufia huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Hakika kama vile BWANA aishivyo, BWANA mwenyewe atampiga, au wakati wake utafika, naye atakufa, au atakwenda vitani na kuangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akasema, “Hakika kama vile bwana aishivyo, bwana mwenyewe atampiga; au wakati wake utafika, naye atakufa, au atakwenda vitani na kuangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akasema, Aishivyo BWANA, BWANA atampiga; au siku yake ya kufa itampata; atashuka kwenda vitani na kupotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba Mwenyezi-Mungu mwenyewe atamuua Sauli; ama siku yake ya kufa itafika, au atakwenda vitani na kufia huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akasema: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, isifanyike! Ila Bwana atampiga, au itakuja siku yake, afe, au atakaposhuka kupiga vita ataangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akasema, Aishivyo BWANA, BWANA atampiga; au siku yake ya kufa itampata; atashuka kwenda vitani na kupotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile Yawe anavyoishi, Yawe mwenyewe atamwua, au siku yake ya kufa itamufikia au atakuja kwenda katika vita na kuangamizwa kule.