1 Samuel 26:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Daudi akaenda upande wa pili wa bonde hilo, akasimama juu mlimani mbali na kundi la Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Daudi akavuka upande mwingine na kusimama juu ya kilima, mahali palipokuwa na nafasi pana kati yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Daudi akaenda ng'ambo ya pili, akasimama juu ya kilima, mbali sana; palipokuwapo nafasi tele katikati yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Daudi akaenda upande wa pili wa bonde hilo, akasimama juu mlimani mbali na kundi la Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Daudi akavuka upande mwingine na kusimama juu ya kilima mahali palipokuwa na nafasi pana kati yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Daudi akavuka upande mwingine na kusimama juu ya kilima mahali palipokuwa na nafasi pana kati yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Daudi akaenda ng'ambo ya pili, akasimama juu ya kilima, mbali sana; palipokuwapo nafasi tele katikati yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Daudi akaenda upande wa pili wa bonde hilo, akasimama juu mlimani mbali na kundi la Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akaenda ng'ambo ya huko, akasimama mbali mlimani juu, pakawa mahali pakubwa katikati yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Daudi akaenda ng’ambo ya pili, akasimama juu ya kilima, mbali sana; palipokuwapo nafasi tele katikati yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Daudi akaenda upande wa pili wa bonde hilo, akasimama juu kwenye mulima mbali na kundi la Saulo.