1 Samuel 26:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaliita kwa sauti jeshi la Shauli na Abneri mwana wa Neri akisema, “Abneri, je, unanisikia?” Abneri akauliza, “Ni nani wewe unayemwita mfalme?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akapaza sauti kwa jeshi na kwa Abneri mwana wa Neri, akisema, “Je, Abneri, hutanijibu?” Abneri akajibu, “Nani wewe unayemwita mfalme?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye Daudi akawapigia kelele watu wale, na Abneri, mwana wa Neri, akasema, Abneri, hujibu? Ndipo Abneri akajibu, akasema, U nani wewe unayemlilia mfalme?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaliita kwa sauti jeshi la Shauli na Abneri mwana wa Neri akisema, “Abneri, je, unanisikia?” Abneri akauliza, “Ni nani wewe unayemwita mfalme?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akalipigia kelele jeshi na Abneri mwana wa Neri, akisema, “Je, Abneri, hutanijibu?” Abneri akajibu, “Nani wewe umwitaye mfalme?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akalipigia kelele jeshi na Abneri mwana wa Neri, akisema, “Je, Abneri, hutanijibu?” Abneri akajibu, “Nani wewe umwitaye mfalme?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye Daudi akawapigia kelele watu wale, na Abneri, mwana wa Neri, akasema, Abneri, hujibu? Ndipo Abneri akajibu, akasema, U nani wewe unayemlilia mfalme?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaliita kwa sauti jeshi la Shauli na Abneri mwana wa Neri akisema, “Abneri, je, unanisikia?” Abneri akauliza, “Ni nani wewe unayemwita mfalme?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akapaza sauti kuwaita wale watu wa Abineri, mwana wa Neri, kwamba: Hujibu Abineri? Abineri akajibu akiuliza: Wewe ndiwe nani ukimwita mfalme?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye Daudi akawapigia kelele watu wale, na Abneri, mwana wa Neri, akasema, Abneri, hujibu? Ndipo Abneri akajibu, akasema, U nani wewe unayemlilia mfalme?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaita kwa sauti waaskari wa Saulo na Abeneri mwana wa Neri akisema: “Abeneri, unanisikia?” Abeneri akauliza: “Wewe ni nani unayemwita mufalme?”