1 Samuel 26:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulilotenda si jambo jema. Ninaapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba unastahili kufa, kwa kuwa hukumlinda bwana wako, ambaye Mwenyezi-Mungu amempaka mafuta. Sasa hebu angalia, mkuki wa mfalme na lile gudulia la maji lililokuwa karibu na kichwa chake kama vipo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulichokifanya si kizuri. Kwa hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, wewe na watu wako mnastahili kufa, kwa sababu hamkumlinda bwana wenu, mpakwa mafuta wa Mwenyezi Mungu. Tazameni hapo mlipo. Uko wapi mkuki wa mfalme na gudulia la maji ambavyo vilikuwa karibu na kichwa chake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jambo hili ulilolitenda si jema. Aishivyo Bwana, mmestahili kufa, kwa sababu hamkumlinda bwana wenu, masihi*fq* wa Bwana. Haya basi! Tazameni, liko wapi fumo la mfalme, na gudulia la maji lililokuwa kichwani pake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulilotenda si jambo jema. Ninaapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba unastahili kufa, kwa kuwa hukumlinda bwana wako, ambaye Mwenyezi-Mungu amempaka mafuta. Sasa hebu angalia, mkuki wa mfalme na lile gudulia la maji lililokuwa karibu na kichwa chake kama vipo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulichokifanya si kizuri. Kwa hakika kama aishivyo BWANA, wewe na watu wako mnastahili kufa, kwa sababu hamkumlinda bwana wenu, mpakwa mafuta wa BWANA. Tazameni hapo mlipo. Uko wapi mkuki wa mfalme na gudulia la maji ambavyo vilikuwa karibu na kichwa chake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulichokifanya si kizuri. Kwa hakika kama aishivyo bwana, wewe na watu wako mnastahili kufa, kwa sababu hamkumlinda bwana wenu, mpakwa mafuta wa bwana. Tazameni hapo mlipo. Uko wapi mkuki wa mfalme na gudulia la maji ambavyo vilikuwa karibu na kichwa chake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jambo hili ulilolitenda si jema. Aishivyo BWANA, mmestahili kufa, kwa sababu hamkumlinda bwana wenu, masihi wa BWANA. Haya basi! Tazameni, liko wapi fumo la mfalme, na gudulia la maji lililokuwa kichwani pake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulilotenda si jambo jema. Ninaapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba unastahili kufa, kwa kuwa hukumlinda bwana wako, ambaye Mwenyezi-Mungu amempaka mafuta. Sasa hebu angalia, mkuki wa mfalme na lile gudulia la maji lililokuwa karibu na kichwa chake kama vipo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili, ulilolifanya, halifai; hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, m watu wa kufa ninyi msiomwangalia bwana wenu aliyepakwa mafuta na Bwana! Sasa tazameni! Mkuki wa mfalme na mtungi wa maji uliokuwa kichwani pake uko hapa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jambo hili ulilolitenda si jema. Aishivyo BWANA, mmestahili kufa, kwa sababu hamkumlinda bwana wenu, masihi wa BWANA. Haya basi! Tazameni, liko wapi fumo la mfalme, na gudulia la maji lililokuwa kichwani pake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulilotenda si jambo zuri. Kama vile Yawe anavyoishi, unastahili kufa, maana haukumulinda bwana wako, ambaye ni muchaguliwa wa Yawe. Sasa angalia, mukuki wa mufalme na ule mufuko wa maji uliokuwa karibu na kichwa chake kama vipo!”