1 Samuel 26:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akaendelea kusema, “Lakini kwa nini, wewe bwana wangu unifuatilie mimi mtumishi wako? Nimefanya nini? Ni ovu gani nimekufanyia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akaongeza, “Kwa nini bwana wangu anamfuatia mtumishi wake? Nimefanya nini, nalo kosa langu ni lipi nililolifanya niwe na hatia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Bwana wangu ananiwinda mimi mtumishi wake kwa sababu gani? Nimefanya nini mimi? Ni uovu gani nilio nao mkononi mwangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akaendelea kusema, “Lakini kwa nini, wewe bwana wangu unifuatilie mimi mtumishi wako? Nimefanya nini? Ni ovu gani nimekufanyia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akaongeza, “Kwa nini bwana wangu anamfuatia mtumishi wake? Nimefanya nini, nalo kosa langu ni nini nililolifanya niwe na hatia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akaongeza, “Kwa nini bwana wangu anamfuatia mtumishi wake? Nimefanya nini, nalo kosa langu ni lipi nililolifanya niwe na hatia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Bwana wangu ananiwinda mimi mtumishi wake kwa sababu gani? Nimefanya nini mimi? Ni uovu gani nilio nao mkononi mwangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akaendelea kusema, “Lakini kwa nini, wewe bwana wangu unifuatilie mimi mtumishi wako? Nimefanya nini? Ni ovu gani nimekufanyia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea akisema: Mbona bwana wangu anamkimbiza mtumishi wake? Nimefanya nini? Au kiko kibaya gani mkononi mwangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Bwana wangu ananiwinda mimi mtumishi wake kwa sababu gani? Nimefanya nini mimi? Ni uovu gani nilio nao mkononi mwangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akaendelea kusema: “Lakini kwa nini, wewe bwana wangu unanifuatilia mimi mutumishi wako? Nimefanya nini? Ni uovu gani nimekufanyia?