1 Samuel 26:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara moja, Shauli alikwenda kwenye nyika za Zifu kumtafuta Daudi akiwa na askari waliochaguliwa 3,000 wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Sauli akashuka kwenda katika Jangwa la Zifu, akiwa na wapiganaji wake elfu tatu wa Israeli waliochaguliwa, ili kumtafuta Daudi huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sauli akaondoka, akashuka nyikani kwa Zifu, naye alikuwa na watu elfu tatu, wateule wa Israeli, pamoja naye, ili kumtafuta Daudi katika nyika ya Zifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara moja, Shauli alikwenda kwenye nyika za Zifu kumtafuta Daudi akiwa na askari waliochaguliwa 3,000 wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Sauli akashuka kwenda katika Jangwa la Zifu, akiwa na watu wake 3,000 wa Israeli waliochaguliwa, kumsaka Daudi huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Sauli akashuka kwenda katika Jangwa la Zifu, akiwa na watu wake 3,000 wa Israeli waliochaguliwa, kumsaka Daudi huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sauli akaondoka, akashuka nyikani kwa Zifu, naye alikuwa na watu elfu tatu, wateule wa Israeli, pamoja naye, ili kumtafuta Daudi katika nyika ya Zifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara moja, Shauli alikwenda kwenye nyika za Zifu kumtafuta Daudi akiwa na askari waliochaguliwa 3,000 wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Sauli alipoondoka, akatelemka kwenda nyikani kwa Zifu; naye alikuwa na watu 3000 waliochaguliwa katika Waisiraeli, wamtafute Dawidi katika nyika ya Zifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sauli akaondoka, akashuka nyikani kwa Zifu, naye alikuwa na watu elfu tatu, wateule wa Israeli, pamoja naye, ili kumtafuta Daudi katika nyika ya Zifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja, Saulo alikwenda kwenye jangwa la Zifu kumutafuta Daudi akiwa na waaskari waliochaguliwa elfu tatu wa Israeli.