1 Samuel 26:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akajibu, “Ee mfalme, mkuki wako uko hapa, mtume kijana wako mmoja aje auchukue.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akajibu, “Mkuki wa mfalme uko hapa. Mmoja wa vijana wako na avuke kuuchukua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akajibu, akasema, Litazame fumo hili, Ee mfalme! Kijana mmoja na avukie huku, alitwae.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akajibu, “Ee mfalme, mkuki wako uko hapa, mtume kijana wako mmoja aje auchukue.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akajibu, “Mkuki wa mfalme uko hapa. Mmoja wa vijana wako na avuke kuuchukua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akajibu, “Mkuki wa mfalme uko hapa. Mmoja wa vijana wako na avuke kuuchukua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akajibu, akasema, Litazame fumo hili, Ee mfalme! Kijana mmoja na avukie huku, alitwae.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akajibu, “Ee mfalme, mkuki wako uko hapa, mtume kijana wako mmoja aje auchukue.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akajibu akisema: Huu ni mkuki wa mfalme! Na aje kijana mmoja ng'ambo ya huku, auchukue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akajibu, akasema, Litazame fumo hili, Ee mfalme! Kijana mmoja na avukie huku, alitwae.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akajibu: “Ee mufalme, mukuki wako uko hapa, utume kijana wako mumoja akuje aukamate.