1 Samuel 26:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama kama vile leo maisha yako yalivyokuwa na thamani mbele yangu, ndivyo na maisha yangu yawe na thamani mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akaniokoe kutoka kwenye taabu zote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hakika kama vile maisha yako yalivyokuwa ya thamani kwangu leo, vivyo hivyo maisha yangu na yawe na thamani kwa Mwenyezi Mungu na kuniokoa kutoka taabu zote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, angalia, kama vile maisha yako yalivyokuwa na thamani machoni pangu, kadhalika na maisha yangu na yawe na thamani machoni pa Bwana, akaniokoe katika shida zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama kama vile leo maisha yako yalivyokuwa na thamani mbele yangu, ndivyo na maisha yangu yawe na thamani mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akaniokoe kutoka kwenye taabu zote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hakika kama vile maisha yako yalivyokuwa ya thamani kwangu leo, vivyo hivyo maisha yangu na yawe na thamani kwa BWANA na kuniokoa kutoka katika taabu zote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hakika kama vile maisha yako yalivyokuwa ya thamani kwangu leo, vivyo hivyo maisha yangu na yawe na thamani kwa bwana na kuniokoa kutoka taabu zote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, angalia, kama vile maisha yako yalivyokuwa na thamani machoni pangu, kadhalika na maisha yangu na yawe na thamani machoni pa BWANA, akaniokoe katika shida zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama kama vile leo maisha yako yalivyokuwa na thamani mbele yangu, ndivyo na maisha yangu yawe na thamani mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akaniokoe kutoka kwenye taabu zote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaona! Kama roho yako ilivyokuwa kuu machoni pangu, ndivyo, roho yangu nayo itakavyokuwa kuu machoni pa Bwana, aniponye katika masongano yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, angalia, kama vile maisha yako yalivyokuwa na thamani machoni pangu, kadhalika na maisha yangu na yawe na thamani machoni pa BWANA, akaniokoe katika shida zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia kama vile leo maisha yako yalivyokuwa na bei kali mbele yangu, ndivyo maisha yangu yapate kuwa na bei kali mbele ya Yawe; naye aniokoe kutoka taabu zote.”