1 Samuel 26:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akapiga kambi juu ya mlima Hakila, karibu na barabara, mashariki ya Yeshimoni. Lakini Daudi alikuwa bado huko nyikani. Daudi alipojua kwamba Shauli alikuwa amekuja nyikani kumtafuta,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akapiga kambi yake kando ya barabara juu ya kilima cha Hakila kinachotazamana na Yeshimoni, lakini Daudi alikuwa anaishi huko jangwani. Alipoona kuwa Sauli amemfuata huko,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sauli akapiga hema katika kilima cha Hakila, kilichoelekea Yeshimoni, barabarani; lakini Daudi alikuwa akikaa nyikani, akaona ya kwamba Sauli amemfuata mpaka nyikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akapiga kambi juu ya mlima Hakila, karibu na barabara, mashariki ya Yeshimoni. Lakini Daudi alikuwa bado huko nyikani. Daudi alipojua kwamba Shauli alikuwa amekuja nyikani kumtafuta,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akapiga kambi yake kando ya barabara juu ya kilima cha Hakila kinachotazamana na Yeshimoni, lakini Daudi alikuwa anaishi huko jangwani. Alipoona kuwa Sauli amemfuata huko,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akapiga kambi yake kando ya barabara juu ya kilima cha Hakila kinachotazamana na Yeshimoni, lakini Daudi alikuwa anaishi huko jangwani. Alipoona kuwa Sauli amemfuata huko,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sauli akapiga hema katika kilima cha Hakila, kilichoelekea Yeshimoni, barabarani; lakini Daudi alikuwa akikaa nyikani, akaona ya kwamba Sauli amemfuata mpaka nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akapiga kambi juu ya mlima Hakila, karibu na barabara, mashariki ya Yeshimoni. Lakini Daudi alikuwa bado huko nyikani. Daudi alipojua kwamba Shauli alikuwa amekuja nyikani kumtafuta,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akapiga kambi njiani kwenye kilima cha Hakila kinachoelekea jangwani, naye Dawidi alikuwa akikaa kule nyikani. Dawidi alipoona, ya kuwa Sauli anamfuata huko nyikani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sauli akapiga hema katika kilima cha Hakila, kilichoelekea Yeshimoni, barabarani; lakini Daudi alikuwa akikaa nyikani, akaona ya kwamba Sauli amemfuata mpaka nyikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akapiga kambi juu ya mulima Hakila, karibu na barabara, upande wa mashariki wa Yesimoni. Lakini Daudi alikuwa angali kule katika jangwa. Daudi alipojua kwamba Saulo alikuwa amekuja katika jangwa kwa kumutafuta,