1 Samuel 26:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alituma wapelelezi, akafahamishwa kwamba ni kweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akatuma wapelelezi na akapata habari kwa hakika kwamba Sauli alikuwa amewasili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akatuma wapelelezi, akapata habari ya hakika ya kwamba Sauli amefika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alituma wapelelezi, akafahamishwa kwamba ni kweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akatuma wapelelezi na akapata habari kwa hakika kwamba Sauli alikuwa amewasili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akatuma wapelelezi na akapata habari kwa hakika kwamba Sauli alikuwa amewasili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akatuma wapelelezi, akapata habari ya hakika ya kwamba Sauli amefika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alituma wapelelezi, akafahamishwa kwamba ni kweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akatuma wapelelezi; ndivyo, alivyojua, ya kuwa Sauli amefika kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akatuma wapelelezi, akapata habari ya hakika ya kwamba Sauli amefika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
alituma wapelelezi, akafahamishwa kwamba ni kweli.