1 Samuel 27:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli aliposikia kwamba Daudi amekimbilia Gathi, hakumfuata tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli alipokuwa ameambiwa kwamba Daudi alikuwa amekimbilia Gathi, hakuendelea kumsaka tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sauli akaambiwa ya kwamba Daudi amekimbia mpaka Gathi; wala hakumtafuta tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli aliposikia kwamba Daudi amekimbilia Gathi, hakumfuata tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli alipokuwa ameambiwa kwamba Daudi alikuwa amekimbilia Gathi, hakuendelea kumsaka tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli alipokuwa ameambiwa kwamba Daudi alikuwa amekimbilia Gathi, hakuendelea kumsaka tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sauli akaambiwa ya kwamba Daudi amekimbia mpaka Gathi; wala hakumtafuta tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli aliposikia kwamba Daudi amekimbilia Gathi, hakumfuata tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alipopashwa habari, ya kuwa Dawidi amekimbilia Gati, hakuendelea tena kumtafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sauli akaambiwa ya kwamba Daudi amekimbia mpaka Gathi; wala hakumtafuta tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo aliposikia kwamba Daudi amekimbilia Gati, hakumufuata tena.