1 Samuel 28:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akamwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba hakuna adhabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akamwapia huyo mwanamke kwa Jina la Mwenyezi Mungu, akasema, “Kwa hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, hutaadhibiwa kwa ajili ya jambo hili.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sauli akamwapia kwa Bwana, akasema, Aishivyo Bwana, haitakupata adhabu yo yote kwa jambo hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akamwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba hakuna adhabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akamwapia huyo mwanamke kwa Jina la BWANA, akasema, “Kwa hakika kama BWANA aishivyo, hutaadhibiwa kwa ajili ya jambo hili.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akamwapia huyo mwanamke kwa Jina la bwana, akasema, “Kwa hakika kama bwana aishivyo, hutaadhibiwa kwa ajili ya jambo hili.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sauli akamwapia kwa BWANA, akasema, Aishivyo BWANA, haitakupata adhabu yoyote kwa jambo hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akamwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba hakuna adhabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akamwapia na kumtaja Bwana kwamba: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, kwa jambo hili hutakora manza kabisa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sauli akamwapia kwa BWANA, akasema, Aishivyo BWANA, haitakupata adhabu yo yote kwa jambo hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akamwapia kwa jina la Yawe, akisema: “Kama vile Yawe anavyoishi, hakuna azabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.”