1 Samuel 28:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Shauli akamwambia, “Usiogope! Unaona nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Naona mungu akitokea ardhini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akamwambia, “Usiogope. Unaona nini?” Yule mwanamke akasema, “Naona mungu unapanda kutoka ardhini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akamwambia Usiogope; waona nini? Yule mwanamke akamwambia Sauli, Naona mungu anatoka katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Shauli akamwambia, “Usiogope! Unaona nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Naona mungu akitokea ardhini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akamwambia, “Usiogope. Unaona nini?” Yule mwanamke akasema, “Naona mungu unapanda kutoka ardhini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akamwambia, “Usiogope. Unaona nini?” Yule mwanamke akasema, “Naona mungu unapanda kutoka ardhini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akamwambia Usiogope; unaona nini? Yule mwanamke akamwambia Sauli, Naona mungu akitoka katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Shauli akamwambia, “Usiogope! Unaona nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Naona mungu akitokea ardhini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia: Usiogope! Sema tu: Unaona nini? Ndipo, mwanamke alipomwambia Sauli: Ninaona, wa Kimungu akipanda kutoka ndani ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akamwambia Usiogope; waona nini? Yule mwanamke akamwambia Sauli, Naona mungu anatoka katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Saulo akamwambia: “Usiogope! Unaona nini?” Yule mwanamuke akamujibu: “Ninaona mungu akipanda toka ndani ya udongo.”