1 Samuel 28:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, kuona Mwenyezi Mungu amekuacha na kuwa adui yako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samweli akasema, Kwa nini kuniuliza mimi, akiwa Bwana amekuacha, naye amekuwa adui yako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akamwuliza, “Kwa nini uniulize mimi, maadamu BWANA amekuacha na kuwa adui yako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, maadamu bwana amekuacha na kuwa adui yako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akasema, Kwa nini unaniuliza mimi, wakati BWANA amekuacha, naye amekuwa adui yako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli akamwuliza: Mbona unaniuliza, Bwana akiwa ameondoka kwako na kugeuka kuwa mpingani wako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samweli akasema, Kwa nini kuniuliza mimi, akiwa BWANA amekuacha, naye amekuwa adui yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akasema: “Kwa nini unaniomba shauri ikiwa Yawe amekuachilia na amekuwa adui yako?