1 Samuel 28:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amekutendea kile alichokuambia kwa njia yangu. Mwenyezi-Mungu ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, na amempa Daudi jirani yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ametenda lile alilotangulia kusema kupitia kwangu. Mwenyezi Mungu ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, naye amempa mmoja wa majirani zako, yaani Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye Bwana amekutendea kama alivyosema kwa kinywa changu; Bwana amekurarulia ufalme mkononi mwako, na kumpa jirani yako, yaani, Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amekutendea kile alichokuambia kwa njia yangu. Mwenyezi-Mungu ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, na amempa Daudi jirani yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ametenda lile alilotangulia kusema kupitia kwangu. BWANA ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, naye amempa mmoja wa jirani zako, yaani Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ametenda lile alilotangulia kusema kupitia kwangu. bwana ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, naye amempa mmoja wa jirani zako, yaani Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye BWANA amekutendea kama alivyosema kwa kinywa changu; BWANA amekurarulia ufalme mkononi mwako, na kumpa jirani yako, yaani, Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amekutendea kile alichokuambia kwa njia yangu. Mwenyezi-Mungu ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, na amempa Daudi jirani yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atakufanyizia, kama alivyosema kinywani mwangu: Bwana atauondoa ufalme mkononi mwako, ampe mwenzio Dawidi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye BWANA amekutendea kama alivyosema kwa kinywa changu; BWANA amekurarulia ufalme mkononi mwako, na kumpa jirani yako, yaani, Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amekutendea kile alichokuambia kwa njia yangu. Yawe ameurarua ufalme kutoka katika mikono yako, na amemupa Daudi jirani yako.