1 Samuel 28:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, wewe hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, wala hukuitekeleza ghadhabu yake dhidi ya Waamaleki. Ndio maana leo Mwenyezi-Mungu amekutendea mambo haya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu wewe hukumtii Mwenyezi Mungu, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, Mwenyezi Mungu amekutendea mambo haya leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu wewe hukuitii sauti ya Bwana, wala hukumtimilizia hasira yake kali juu ya Amaleki; kwa sababu hii Bwana amekutendea hili leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, wewe hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, wala hukuitekeleza ghadhabu yake dhidi ya Waamaleki. Ndio maana leo Mwenyezi-Mungu amekutendea mambo haya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu wewe hukumtii BWANA, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, BWANA amekutendea mambo haya leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu wewe hukumtii bwana, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, bwana amekutendea mambo haya leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu wewe hukuitii sauti ya BWANA, wala hukumtimilizia hasira yake kali juu ya Amaleki; kwa sababu hii BWANA amekutendea hili leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, wewe hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, wala hukuitekeleza ghadhabu yake dhidi ya Waamaleki. Ndio maana leo Mwenyezi-Mungu amekutendea mambo haya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa kuwa hukukitii kinywa chake Bwana, usipowafanyizia Waamaleki, makali yake yenye moto yaliyoyataka. Kwa sababu hiyo Bwana atakufanyizia jambo hili siku hii ya leo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu wewe hukuitii sauti ya BWANA, wala hukumtimilizia hasira yake kali juu ya Amaleki; kwa sababu hii BWANA amekutendea hili leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana, wewe haukuitii sauti ya Yawe, wala haukuitimiza kasirani yake juu ya Waamaleki. Ndiyo maana leo Yawe amekutendea mambo haya.