1 Samuel 28:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akampa Shauli, akawapa pia watumishi wake, nao wakala. Halafu wakaondoka na kwenda zao wakati huohuo usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akamwandalia meza Sauli pamoja na watu wake, nao wakala. Usiku ule ule wakainuka na kwenda zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha akamwandalia Sauli na watumishi wake; wakala. Ndipo wakaondoka, wakaenda zao usiku ule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akampa Shauli, akawapa pia watumishi wake, nao wakala. Halafu wakaondoka na kwenda zao wakati huohuo usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akamwandalia meza Sauli pamoja na watu wake, nao wakala. Usiku ule ule wakainuka na kwenda zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akamwandalia meza Sauli pamoja na watu wake, nao wakala. Usiku ule ule wakainuka na kwenda zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha akamwandalia Sauli na watumishi wake; wakala. Ndipo wakaondoka, wakaenda zao usiku ule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akampa Shauli, akawapa pia watumishi wake, nao wakala. Halafu wakaondoka na kwenda zao wakati huohuo usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamletea Sauli na watumishi wake, wakala. Walipokwisha kula wakaondoka, wakaenda zao usiku uleule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha akamwandalia Sauli na watumishi wake; wakala. Ndipo wakaondoka, wakaenda zao usiku ule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamupa Saulo, akawapa vilevile watumishi wake, nao wakakula. Halafu wakaondoka na kwenda zao wakati uleule wa usiku.