1 Samuel 28:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alipoona jeshi la Wafilisti alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo moyoni mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi alipowaona hao majeshi ya Wafilisti, huyo Sauli akaogopa, na moyo wake ukatetemeka sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alipoona jeshi la Wafilisti alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo moyoni mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi alipowaona hao majeshi ya Wafilisti, huyo Sauli akaogopa, na moyo wake ukatetemeka sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alipoona jeshi la Wafilisti alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo moyoni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alipoyaona makambi ya Wafilisti akashikwa na woga, moyo wake ukastuka kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi alipowaona hao majeshi ya Wafilisti, huyo Sauli akaogopa, na moyo wake ukatetemeka sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alipoona kundi la waaskari wa Wafilistini, alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo ndani ya moyo wake.