1 Samuel 28:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa Mwenyezi Mungu, lakini Mwenyezi Mungu hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kupitia manabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Sauli alipouliza kwa Bwana, Bwana hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa BWANA, lakini BWANA hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa njia ya manabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa bwana, lakini bwana hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa njia ya manabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Sauli alipomwuliza Bwana, Bwana hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu wa mtambikaji mkuu, wala kwa wafumbuaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata alipomwomba Yawe shauri, Yawe hakumujibu kwa ndoto, kwa mawe ya kupiga kura, wala kwa njia ya manabii.