1 Samuel 29:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, huyu si Daudi yuleyule ambaye wanawake waliimba habari zake walipokuwa wakicheza, ‘Shauli ameua maelfu, lakini Daudi ameua maelfu kumi.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, huyu si ndiye Daudi walioimba kumhusu katika ngoma zao, wakisema: “ ‘Sauli amewaua elfu zake, naye Daudi makumi elfu yake’?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Siye huyo Daudi, ambaye waliimbiana habari zake katika michezo, wakisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, huyu si Daudi yuleyule ambaye wanawake waliimba habari zake walipokuwa wakicheza, ‘Shauli ameua maelfu, lakini Daudi ameua maelfu kumi.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, huyu si ndiye Daudi walioimba kumhusu katika ngoma zao, wakisema: “ ‘Sauli amewaua elfu zake, naye Daudi makumi elfu yake’?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, huyu si ndiye Daudi walioimba kumhusu katika ngoma zao, wakisema: “ ‘Sauli amewaua elfu zake, naye Daudi makumi elfu yake’?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Siye huyo Daudi, ambaye waliimbiana habari zake katika michezo, wakisema, Sauli amewaua elfu zake, Na Daudi makumi elfu yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, huyu si Daudi yuleyule ambaye wanawake waliimba habari zake walipokuwa wakicheza, ‘Shauli ameua maelfu, lakini Daudi ameua maelfu kumi.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Huyu Dawidi siye, waliyemwimbia na kuitikiana katika michezo kwamba: Sauli ameua elfu lake, lakini Dawidi ameua maelfu yake kumi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Siye huyo Daudi, ambaye waliimbiana habari zake katika michezo, wakisema, Sauli amewaua elfu zake, Na Daudi makumi elfu yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huyu ni Daudi yuleyule ambaye wanawake waliimba habari zake walipokuwa wakicheza: ‘Saulo ameua maelfu, lakini Daudi ameua maelfu kumi.’ ”