1 Samuel 29:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo sasa, rudi nyumbani. Nenda kwa amani ili usiwachukize wakuu wa Wafilisti.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rudi na uende kwa amani; usifanye chochote cha kuwakasirisha watawala wa Wafilisti.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa urudi, uende zako kwa amani, ili usiwachukize hao mashehe wa Wafilisti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo sasa, rudi nyumbani. Nenda kwa amani ili usiwachukize wakuu wa Wafilisti.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rudi na uende kwa amani; usifanye cho chote cha kuwakasirisha watawala wa Kifilisti.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rudi na uende kwa amani; usifanye chochote cha kuwakasirisha watawala wa Kifilisti.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa rudi, uende zako kwa amani, ili usiwachukize hao wakuu wa Wafilisti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo sasa, rudi nyumbani. Nenda kwa amani ili usiwachukize wakuu wa Wafilisti.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa rudi, ujiendee na kutengemana, usifanye kilicho kibaya machoni pao wakuu wa Wafilisti!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa urudi, uende zako kwa amani, ili usiwachukize hao mashehe wa Wafilisti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo sasa, urudi kwa nyumba. Kwenda kwa amani kusudi usiwachukize wakubwa wa Wafilistini.”