1 Samuel 29:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akishi akamwambia, “Najua kuwa huna lawama mbele yangu kama malaika wa Mungu. Hata hivyo, makamanda wa Wafilisti wamesema, ‘Kamwe asiende pamoja nasi vitani’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akishi akamjibu Daudi, “Mimi ninajua ya kuwa wewe umekuwa wa kupendeza machoni pangu kama vile malaika wa Mungu. Lakini hao majemadari wa Wafilisti wamesema, ‘Huyu haimpasi kwenda vitani pamoja nasi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akishi akajibu, akamwambia Daudi, Mimi najua ya kuwa u mwema machoni pangu, kama malaika wa Mungu; ila hao wakuu wa Wafilisti wamesema, Huyu hatakwea pamoja nasi kwenda vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akishi akamwambia, “Najua kuwa huna lawama mbele yangu kama malaika wa Mungu. Hata hivyo, makamanda wa Wafilisti wamesema, ‘Kamwe asiende pamoja nasi vitani’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akishi akamjibu Daudi, “Mimi ninajua ya kuwa wewe umekuwa wa kupendeza machoni pangu kama vile malaika wa Mungu. Lakini hao majemadari wa Wafilisti wamesema, ‘Huyu haimpasi kwenda vitani pamoja nasi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akishi akamjibu Daudi, “Mimi ninajua ya kuwa wewe umekuwa wa kupendeza machoni pangu kama vile malaika wa Mungu. Lakini hao majemadari wa Wafilisti wamesema, ‘Huyu haimpasi kwenda vitani pamoja nasi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akishi akajibu, akamwambia Daudi, Mimi najua ya kuwa u mwema machoni pangu, kama malaika wa Mungu; ila hao wakuu wa Wafilisti wamesema, Huyu hatakwea pamoja nasi kwenda vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akishi akamwambia, “Najua kuwa huna lawama mbele yangu kama malaika wa Mungu. Hata hivyo, makamanda wa Wafilisti wamesema, ‘Kamwe asiende pamoja nasi vitani’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akisi akamjibu na kumwambia: Ninakujua, ya kuwa wewe u mwema machoni pangu kama malaika wa Mungu; ni wao wakuu wa Wafilisti waliosema: Asipande pamoja nasi kupiga vita!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akishi akajibu, akamwambia Daudi, Mimi najua ya kuwa u mwema machoni pangu, kama malaika wa Mungu; ila hao wakuu wa Wafilisti wamesema, Huyu hatakwea pamoja nasi kwenda vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akisi akamwambia: “Ninajua kwamba hauna lawama mbele yangu kama malaika wa Mungu. Hata hivyo, wakubwa wa Wafilistini wamesema: ‘Asiende hata kidogo pamoja nasi katika vita’.