1 Samuel 3:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akalala pale hadi asubuhi, kisha akaamka na kufungua milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Lakini Samueli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akalala hadi asubuhi, kisha akafungua milango ya nyumba ya Mwenyezi Mungu. Aliogopa kumwambia Eli yale maono,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Samweli akalala hata asubuhi, akaifungua milango ya nyumba ya Bwana. Samweli akaogopa kumjulisha Eli maono hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akalala pale hadi asubuhi, kisha akaamka na kufungua milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Lakini Samueli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akalala mpaka asubuhi, kisha akafungua milango ya nyumba ya BWANA. Aliogopa kumwambia Eli yale maono,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akalala mpaka asubuhi, kisha akafungua milango ya nyumba ya bwana. Aliogopa kumwambia Eli yale maono,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Samweli akalala hadi asubuhi, akaifungua milango ya nyumba ya BWANA. Samweli akaogopa kumjulisha Eli maono hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akalala pale hadi asubuhi, kisha akaamka na kufungua milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Lakini Samueli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akaja kulala, mpaka kuche, kisha akaifungua milango ya Nyumba ya Bwana; lakini Samweli akaogopa kumsimulia Eli, aliyoyaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Samweli akalala hata asubuhi, akaifungua milango ya nyumba ya BWANA. Samweli akaogopa kumjulisha Eli maono hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akalala pale mpaka asubui, kisha akaamuka na kufungua milango ya nyumba ya Yawe. Lakini Samweli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.