1 Samuel 3:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua Mwenyezi Mungu. Neno la Mwenyezi Mungu lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Samweli alikuwa hamjui Bwana bado, na neno la Bwana lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua BWANA. Neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua bwana. Neno la bwana lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Samweli alikuwa hajamjua Bwana bado, nalo Neno la Bwana halijamtokea bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli alikuwa hamujui Yawe bado, wala ujumbe wa Yawe ulikuwa bado haujafunuliwa kwake.