1 Samuel 30:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu waliokuwa na Daudi walimkuta mtu mmoja Mmisri nyikani, nao wakampeleka kwa Daudi. Wakampa mtu huyo mkate na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamkuta Mmisri katika shamba fulani, nao wakamleta kwa Daudi. Wakampa huyo Mmisri maji ya kunywa na chakula;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakamkuta Mmisri mavueni, wakamleta kwa Daudi, na kumpa chakula, naye akala; nao wakampa maji ya kunywa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu waliokuwa na Daudi walimkuta mtu mmoja Mmisri nyikani, nao wakampeleka kwa Daudi. Wakampa mtu huyo mkate na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamkuta Mmisri katika shamba fulani, nao wakamleta kwa Daudi. Wakampa huyo Mmisri maji ya kunywa na chakula,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamkuta Mmisri katika shamba fulani, nao wakamleta kwa Daudi. Wakampa huyo Mmisri maji ya kunywa na chakula;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakamkuta Mmisri nyikani wakamleta kwa Daudi, na kumpa chakula, naye akala; nao wakampa maji ya kunywa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu waliokuwa na Daudi walimkuta mtu mmoja Mmisri nyikani, nao wakampeleka kwa Daudi. Wakampa mtu huyo mkate na maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaona mtu wa Misri kule porini, wakamchukua na kumpeleka kwa Dawidi, wakampa chakula, naye akala, kisha wakampa hata maji ya kunywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakamkuta Mmisri mavueni, wakamleta kwa Daudi, na kumpa chakula, naye akala; nao wakampa maji ya kunywa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale watu waliokuwa na Daudi walimukuta mutu mumoja Mumisri katika jangwa, nao wakamupeleka kwa Daudi. Wakamupa mutu yule mukate na maji.