1 Samuel 30:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia walimpa kipande cha mkate wa tini na vishada viwili vya zabibu kavu. Alipomaliza kula, akapata nguvu, kwani alikuwa hajala wala kunywa kitu chochote kwa muda wa siku tatu, mchana na usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kipande cha andazi la tini na andazi la zabibu zilizokaushwa. Akala naye akapata nguvu, kwa kuwa hakuwa amekula chakula chochote wala kunywa maji kwa siku tatu usiku na mchana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha wakampa kipande cha mkate wa tini, na vishada viwili vya zabibu; naye akiisha kula roho yake ikamrudia; kwa maana alikuwa hakula chakula wala kunywa maji, siku tatu mchana na usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia walimpa kipande cha mkate wa tini na vishada viwili vya zabibu kavu. Alipomaliza kula, akapata nguvu, kwani alikuwa hajala wala kunywa kitu chochote kwa muda wa siku tatu, mchana na usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kipande cha andazi la tini na andazi la zabibu zilizokaushwa. Akala naye akapata nguvu, kwa kuwa hakuwa amekula chakula cho chote wala kunywa maji kwa siku tatu mchana na usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kipande cha andazi la tini na andazi la zabibu zilizokaushwa. Akala naye akapata nguvu, kwa kuwa hakuwa amekula chakula chochote wala kunywa maji kwa siku tatu usiku na mchana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha wakampa kipande cha mkate wa tini, na vishada viwili vya zabibu; naye akiisha kula roho yake ikamrudia; kwa maana hakuwa amekula chakula wala kunywa maji, siku tatu mchana na usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia walimpa kipande cha mkate wa tini na vishada viwili vya zabibu kavu. Alipomaliza kula, akapata nguvu, kwani alikuwa hajala wala kunywa kitu chochote kwa muda wa siku tatu, mchana na usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipompa nalo andazi la kuyu na maandazi mawili ya zabibu, roho yake ikamrudia, kwani alikuwa hakula chakula wala hakunywa maji siku tatu mchana kutwa na usiku kucha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha wakampa kipande cha mkate wa tini, na vishada viwili vya zabibu; naye akiisha kula roho yake ikamrudia; kwa maana alikuwa hakula chakula wala kunywa maji, siku tatu mchana na usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile walimupa kipande cha mukate wa tini na vishada viwili vya zabibu zenye kukauka. Alipomaliza kula, akapata nguvu, maana alikuwa hajakula wala kunywa kitu chochote kwa muda wa siku tatu, muchana na usiku.