1 Samuel 30:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akarudisha kila kitu ambacho Waamaleki walikuwa wamechukua, pamoja na wake zake wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akawapokonya wote waliokuwa wamechukuliwa na Waamaleki; naye Daudi akawaokoa wakeze wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akarudisha kila kitu Waamaleki walichokuwa wamechukua, pamoja na wake zake wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akarudisha kila kitu Waamaleki walikuwa wamechukua, pamoja na wake zake wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akawapokonya wote waliokuwa wamechukuliwa na Waamaleki; naye Daudi akawaokoa wakeze wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akawaponya wote, Waamaleki waliowachukua, nao wakeze wawili Dawidi akawaponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akawapokonya wote waliokuwa wamechukuliwa na Waamaleki; naye Daudi akawaokoa wakeze wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wameteka, hata na wake zake wawili.