1 Samuel 30:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chochote kilichokuwa chao, kiwe kikubwa au kidogo, mtoto wa kiume au wa kike, Daudi alikikomboa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna chochote kilichopotea: kijana au mzee, mvulana au msichana, nyara au kitu kingine chochote walichokuwa wamechukua. Daudi akarudisha kila kitu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawakupotewa na kitu, mdogo wala mkubwa, wana wala binti, nyara wala cho chote walichojitwalia hao; Daudi akavirudisha vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chochote kilichokuwa chao, kiwe kikubwa au kidogo, mtoto wa kiume au wa kike, Daudi alikikomboa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna cho chote kilichopotea kijana au mzee, mvulana au msichana, nyara au kitu kingine cho chote walichokuwa wamechukua. Daudi akarudisha kila kitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna chochote kilichopotea: kijana au mzee, mvulana au msichana, nyara au kitu kingine chochote walichokuwa wamechukua. Daudi akarudisha kila kitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawakupotewa na kitu, mdogo wala mkubwa, wana wala binti, nyara wala chochote walichojitwalia hao; Daudi akavirudisha vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chochote kilichokuwa chao, kiwe kikubwa au kidogo, mtoto wa kiume au wa kike, Daudi alikikomboa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakupotea kwao hata mmoja, wadogo kwa wakubwa, watoto wa kiume wala wa kike; nazo nyara zote pia, walizozichukua kupeleka kwao, basi, hizo zote pia Dawidi akazirudisha;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawakupotewa na kitu, mdogo wala mkubwa, wana wala binti, nyara wala cho chote walichojitwalia hao; Daudi akavirudisha vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chochote kilichokuwa chao, kikuwe kikubwa au kidogo, mutoto mwanaume au mwanamuke, Daudi alikikomboa.