1 Samuel 30:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa wameteka wanawake na watu wote waliokuwa mjini humo, wakubwa kwa wadogo. Hao waliowateka, waliondoka nao wakiwa hai, bila ya kumwua mtu yeyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao wakawa wamewachukua mateka wanawake pamoja na wote waliokuwamo humo, vijana na wazee. Hawakumuua yeyote, bali waliwachukua wakaenda zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wamewachukua mateka wanawake waliokuwamo wakubwa kwa wadogo; hawakuwaua wo wote, ila wakawachukua, wakaenda zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa wameteka wanawake na watu wote waliokuwa mjini humo, wakubwa kwa wadogo. Hao waliowateka, waliondoka nao wakiwa hai, bila ya kumwua mtu yeyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao wakawa wamewachukua mateka wanawake pamoja na wote waliokuwamo humo, vijana na wazee. Hawakuua ye yote, bali waliwachukua wakaenda zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao wakawa wamewachukua mateka wanawake pamoja na wote waliokuwamo humo, vijana na wazee. Hawakuua yeyote, bali waliwachukua wakaenda zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wamewachukua mateka wanawake waliokuwamo wakubwa kwa wadogo; hawakuwaua wowote, ila wakawachukua, wakaenda zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa wameteka wanawake na watu wote waliokuwa mjini humo, wakubwa kwa wadogo. Hao waliowateka, waliondoka nao wakiwa hai, bila ya kumwua mtu yeyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawateka wanawake waliokuwamo, wadogo kwa wakubwa, lakini hawakuua mtu, wakawachukua tu, kisha wakaenda zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wamewachukua mateka wanawake waliokuwamo wakubwa kwa wadogo; hawakuwaua wo wote, ila wakawachukua, wakaenda zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikuwa wameteka wanawake na watu wote waliokuwa katika muji, wakubwa kama vile wadogo. Hao waliowateka, waliondoka nao wakiwa wazima, bila kumwua mutu yeyote.