1 Samuel 30:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia Daudi aliyarudisha makundi yote ya kondoo na ng'ombe, na watu wake wakawa wanaswaga wanyama hao wakiwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine wakisema, “Nyara za Daudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akachukua makundi yote ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, nao watu wake wakawaswaga wanyama hao mbele ya mifugo wengine, wakisema, “Hizi ni nyara za Daudi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akatwaa makundi yote ya kondoo na ng'ombe, ambao waliwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine, wakasema, Hao ndio nyara za Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia Daudi aliyarudisha makundi yote ya kondoo na ng'ombe, na watu wake wakawa wanaswaga wanyama hao wakiwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine wakisema, “Nyara za Daudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akachukua makundi yote ya kondoo, mbuzi na ng'ombe, nao watu wake wakawaswaga wanyama hao mbele ya wanyama wengine wa kufugwa, wakisema, “Hizi ni nyara za Daudi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akachukua makundi yote ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, nao watu wake wakawaswaga wanyama hao mbele ya wanyama wengine wa kufugwa, wakisema, “Hizi ni nyara za Daudi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akatwaa makundi yote ya kondoo na ng'ombe, ambao waliwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine, wakasema, Hao ndio nyara za Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia Daudi aliyarudisha makundi yote ya kondoo na ng'ombe, na watu wake wakawa wanaswaga wanyama hao wakiwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine wakisema, “Nyara za Daudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akachukua mbuzi na kondoo na ng'ombe wote, wakawachunga kwenda mbele ya kundi lile la kwao, wakasema: Hizi ndizo nyara za Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akatwaa makundi yote ya kondoo na ng’ombe, ambao waliwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine, wakasema, Hao ndio nyara za Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile Daudi aliteka makundi yote ya kondoo na ngombe, na watu walioongoza nyama wale walisema: “Hivi ni vitu vya Daudi.”