1 Samuel 30:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tangu siku hiyo Daudi alifanya uamuzi huo kuwa sheria na kanuni katika nchi ya Israeli hadi hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akafanya hili liwe amri na agizo kwa Israeli kutoka siku ile hata leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa hivyo tangu siku ile na baadaye; akaiweka iwe amri na agizo la Israeli hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tangu siku hiyo Daudi alifanya uamuzi huo kuwa sheria na kanuni katika nchi ya Israeli hadi hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akafanya hili liwe amri na agizo kwa Israeli kutoka siku ile hata leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akafanya hili liwe amri na agizo kwa Israeli kutoka siku ile hata leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa hivyo tangu siku ile na baadaye; akaiweka iwe amri na agizo la Israeli hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tangu siku hiyo Daudi alifanya uamuzi huo kuwa sheria na kanuni katika nchi ya Israeli hadi hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tangu siku hiyo hata baadaye yakawa vivyo hivyo; watu wakayaweka hayo kuwa maongozi na maamuzi kwao Waisiraeli hata siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa hivyo tangu siku ile na baadaye; akaiweka iwe amri na agizo la Israeli hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangu siku ile Daudi alifanya uamuzi ule kuwa sharti na agizo katika inchi ya Israeli mpaka hivi leo.