1 Samuel 30:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliporejea Siklagi, aliwapelekea rafiki zake, ambao ni wazee wa Yuda, sehemu ya nyara akisema, “Nawapelekea zawadi kutoka nyara za maadui wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alipofika Siklagi, akatuma baadhi ya nyara kwa wazee wa Yuda, waliokuwa rafiki zake, akasema, “Tazama, hapa kuna zawadi kwa ajili yenu kutoka nyara za adui za Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi alipofika Siklagi, aliwapelekea wazee wa Yuda, rafiki zake, sehemu ya nyara, akasema, Angalieni, zawadi yenu katika nyara za adui za Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliporejea Siklagi, aliwapelekea rafiki zake, ambao ni wazee wa Yuda, sehemu ya nyara akisema, “Nawapelekea zawadi kutoka nyara za maadui wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alipofika Siklagi, akatuma baadhi ya nyara kwa wazee wa Yuda, waliokuwa rafiki zake, akasema, “Tazama, hapa kuna zawadi kwa ajili yenu kutoka katika nyara za adui za BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alipofika Siklagi, akatuma baadhi ya nyara kwa wazee wa Yuda, waliokuwa rafiki zake, akasema, “Tazama, hapa kuna zawadi kwa ajili yenu kutoka nyara za adui za bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi alipofika Siklagi, aliwapelekea wazee wa Yuda, rafiki zake, sehemu ya nyara, akasema, Angalieni, zawadi yenu katika nyara za adui za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliporejea Siklagi, aliwapelekea rafiki zake, ambao ni wazee wa Yuda, sehemu ya nyara akisema, “Nawapelekea zawadi kutoka nyara za maadui wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alipofika Siklagi akatuma watu kuwapelekea wazee wa Yuda waliokuwa rafiki zake fungu moja la hizo nyara na kuwaambia: Tazameni! Hili ni gawio lenu la nyara zitokazo kwao wachukivu wake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi alipofika Siklagi, aliwapelekea wazee wa Yuda, rafiki zake, sehemu ya nyara, akasema, Angalieni, zawadi yenu katika nyara za adui za BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi aliporudia Ziklagi, aliwapelekea warafiki zake ambao ni wazee wa Yuda sehemu ya vitu akisema: “Ninawaletea zawadi kutoka katika vitu vya waadui wa Yawe.”