1 Samuel 30:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwa hao wa Hebroni, na kwa hao wa kila mahali alipozoelea Daudi mwenyewe na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwa hao wa Hebroni, na kwa hao wa kila mahali alipotembelea Daudi mwenyewe na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na wa Heburoni na wa mahali pote, Dawidi na watu wake walipotembeatembea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwa hao wa Hebroni, na kwa hao wa kila mahali alipozoelea Daudi mwenyewe na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wakaaji wa Hebroni. Daudi aliwapelekea vilevile wakaaji wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea.