1 Samuel 30:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Daudi na watu wake walipoangua kilio, wakalia hadi walipoishiwa nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Daudi na watu wake wakapaza sauti na kulia hadi wakaishiwa na nguvu za kulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wakainua sauti zao na kulia, hata walipokuwa hawana nguvu za kulia tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Daudi na watu wake walipoangua kilio, wakalia hadi walipoishiwa nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Daudi na watu wake wakapiga yowe mpaka wakaishiwa na nguvu za kulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Daudi na watu wake wakapiga yowe mpaka wakaishiwa na nguvu za kulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wakapaza sauti zao na kulia, hadi walipokuwa hawana nguvu za kulia tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Daudi na watu wake walipoangua kilio, wakalia hadi walipoishiwa nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Dawidi pamoja na watu waliokuwa naye walipopaza sauti, wakalia, mpaka wasipokuwa na nguvu tena za kulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wakainua sauti zao na kulia, hata walipokuwa hawana nguvu za kulia tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Daudi na watu wake wakaanza kulalamika, wakalia mpaka walipoishiwa nguvu.