1 Samuel 30:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wake wawili wa Daudi, Ahinoamu kutoka Yezreeli na Abigaili mjane wa Nabali, nao pia walikuwa wamechukuliwa mateka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wake wawili wa Daudi walikuwa wametekwa: yaani Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao wake wawili wa Daudi walikuwa wamechukuliwa mateka, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, aliyekuwa mkewe Nabali, wa Karmeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wake wawili wa Daudi, Ahinoamu kutoka Yezreeli na Abigaili mjane wa Nabali, nao pia walikuwa wamechukuliwa mateka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wake wawili wa Daudi walikuwa wametekwa, yaani Ahinoamu wa Yezreeli na Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wake wawili wa Daudi walikuwa wametekwa: yaani Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao wake wawili wa Daudi, walikuwa wamechukuliwa mateka, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, aliyekuwa mkewe Nabali, wa Karmeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wake wawili wa Daudi, Ahinoamu kutoka Yezreeli na Abigaili mjane wa Nabali, nao pia walikuwa wamechukuliwa mateka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale wanawake wawili wa Dawidi walikuwa wametekwa, Ahinoamu wa Izireeli na Abigaili, mkewe Nabali wa Karmeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao wake wawili wa Daudi walikuwa wamechukuliwa mateka, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, aliyekuwa mkewe Nabali, wa Karmeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wake wawili wa Daudi, Ahinoamu kutoka Yezereheli na Abigaili mujane wa Nabali, nao vilevile walikuwa wamekamatwa mateka.