1 Samuel 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipofika kambini Waisraeli wote walishangilia kwa furaha, hata nchi yote ikatikisika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu lilikuja kambini, Waisraeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu hata ardhi ikatikisika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sanduku la agano la Bwana lilipoingia kambini, Israeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu, hata nchi ikavuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipofika kambini Waisraeli wote walishangilia kwa furaha, hata nchi yote ikatikisika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Sanduku la Agano la BWANA lilipokuja kambini, Waisraeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu hata ardhi ikatikisika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Sanduku la Agano la bwana lilikuja kambini, Waisraeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu hata ardhi ikatikisika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sanduku la Agano la BWANA lilipoingia kambini, Israeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu, hata nchi ikavuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipofika kambini Waisraeli wote walishangilia kwa furaha, hata nchi yote ikatikisika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Sanduku la Agano la Bwana lilipoingia makambini, Waisiraeli wote wakapaza sauti sana na kupiga yowe, hata nchi ikatutuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sanduku la agano la BWANA lilipoingia kambini, Israeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu, hata nchi ikavuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sanduku la Agano la Yawe lilipofika katika kambi Waisraeli wote walishangilia kwa furaha, hata inchi yote ikatikisika.