1 Samuel 4:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti waliposikia sauti hiyo ya furaha walisema “Kelele hizo zote kambini mwa Waebrania zina maana gani?” Walipojua kwamba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa limewasili kambini mwa Waisraeli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafilisti waliposikia makelele, wakauliza, “Kwa nini kuna makelele haya yote katika kambi ya Waebrania?” Walipofahamu kuwa Sanduku la Mwenyezi Mungu limekuja kambini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao Wafilisti waliposikia mshindo wa zile kelele, walisema, Maana yake nini mshindo wa kelele hizi kubwa katika kambi ya Waebrania? Wakatambua ya kuwa sanduku la Bwana limefika kambini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti waliposikia sauti hiyo ya furaha walisema “Kelele hizo zote kambini mwa Waebrania zina maana gani?” Walipojua kwamba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa limewasili kambini mwa Waisraeli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafilisti waliposikia makelele wakauliza, “Ni nini makelele haya yote katika kambi ya Waebrania?” Walipofahamu kuwa Sanduku la BWANA limekuja kambini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafilisti waliposikia makelele wakauliza, “Ni nini makelele haya yote katika kambi ya Waebrania?” Walipofahamu kuwa Sanduku la bwana limekuja kambini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao Wafilisti waliposikia mshindo wa zile kelele, walisema, Maana yake nini mshindo wa kelele hizi kubwa katika kambi ya Waebrania? Wakatambua ya kuwa sanduku la BWANA limefika kambini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti waliposikia sauti hiyo ya furaha walisema “Kelele hizo zote kambini mwa Waebrania zina maana gani?” Walipojua kwamba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa limewasili kambini mwa Waisraeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafilisti walipozisikia sauti zao za yowe wakaulizana: Sauti hizi kuu za yowe makambini mwa Waebureo ni za nini? Wakatambua, ya kuwa Sanduku la Bwana limeingia makambini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao Wafilisti waliposikia mshindo wa zile kelele, walisema, Maana yake nini mshindo wa kelele hizi kubwa katika kambi ya Waebrania? Wakatambua ya kuwa sanduku la BWANA limefika kambini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini waliposikia sauti hiyo ya furaha walisema: “Kelele hiyo yote katika kambi ya Waebrania ina maana gani?” Walipojua kwamba Sanduku la Agano la Yawe lilikuwa limefika katika kambi ya Waisraeli,