1 Samuel 4:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti waliogopa; wakasema, “Bila shaka, miungu imewasili kambini mwao! Ole wetu! Jambo kama hili halijawahi kutokea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafilisti wakaogopa, wakasema, “Mungu amekuja kambini, ole wetu. Halijatokea jambo kama hili tangu hapo awali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafilisti wakaogopa, maana walisema, Mungu ameingia kambini. Wakasema, Ole wetu! Kwani halijawa jambo kama hili tangu hapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti waliogopa; wakasema, “Bila shaka, miungu imewasili kambini mwao! Ole wetu! Jambo kama hili halijawahi kutokea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafilisti wakaogopa wakasema, “Mungu amekuja kambini, ole wetu. Halijatokea jambo kama hili tangu hapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafilisti wakaogopa, wakasema, “Mungu amekuja kambini, ole wetu. Halijatokea jambo kama hili tangu hapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafilisti wakaogopa, maana walisema, Mungu ameingia kambini. Wakasema, Ole wetu! Kwani halijawa jambo kama hili tangu hapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti waliogopa; wakasema, “Bila shaka, miungu imewasili kambini mwao! Ole wetu! Jambo kama hili halijawahi kutokea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafilisti wakashikwa na woga, kwani walisema: Mungu ameingia makambini! Yametupata sasa! Kwani jambo kama hilo halijafanyika zamani zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafilisti wakaogopa, maana walisema, Mungu ameingia kambini. Wakasema, Ole wetu! Kwani halijawa jambo kama hili tangu hapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini waliogopa. Wakasema: “Bila shaka, miungu imefika katika kambi yao! Ole wetu! Jambo kama hili halijatokea tangia zamani.