1 Samuel 5:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wale ambao hawakufa walipatwa na majipu hata kilio cha mji kilifika mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale ambao hawakufa walipatwa na majipu, na kilio cha mji kilifika hadi mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale wasiokufa walipigwa kwa yale majipu; na kilio cha mji kikafika mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wale ambao hawakufa walipatwa na majipu hata kilio cha mji kilifika mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale ambao hawakufa walipatwa na majipu, na kilio cha mji kilikwenda juu hadi mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale ambao hawakufa walipatwa na majipu, na kilio cha mji kilikwenda juu hadi mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale wasiokufa walipigwa kwa yale majipu; na kilio cha mji kikafika mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wale ambao hawakufa walipatwa na majipu hata kilio cha mji kilifika mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wasiokufa wakapigwa kwa majipu mabaya, vilio vya humo mjini vikafika mbinguni juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale wasiokufa walipigwa kwa yale majipu; na kilio cha mji kikafika mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wale ambao hawakukufa walipatwa na majipu hata kilio cha muji kilifika mbinguni.