1 Samuel 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, wakalipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu kwenye hekalu la mungu wao Dagoni na kuliweka karibu naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakaliingiza lile Sanduku ndani ya hekalu la Dagoni na kuliweka kando ya huyo Dagoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafilisti wakalichukua sanduku la Mungu, wakalitia katika nyumba ya Dagoni, wakaliweka karibu na Dagoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, wakalipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu kwenye hekalu la mungu wao Dagoni na kuliweka karibu naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakaliingiza lile Sanduku ndani ya hekalu la Dagoni na kuliweka kando ya huyo Dagoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakaliingiza lile Sanduku ndani ya hekalu la Dagoni na kuliweka kando ya huyo Dagoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafilisti wakalichukua sanduku la Mungu, wakalitia katika nyumba ya Dagoni, wakaliweka karibu na Dagoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, wakalipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu kwenye hekalu la mungu wao Dagoni na kuliweka karibu naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafilisti walipolichukua Sanduku la Mungu wakaliingiza nyumbani mwa Dagoni, wakaliweka kando yake Dagoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafilisti wakalichukua sanduku la Mungu, wakalitia katika nyumba ya Dagoni, wakaliweka karibu na Dagoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, wakalipeleka Sanduku la Mungu kwenye hekalu la mungu wao Dagoni na kuliweka karibu naye.