1 Samuel 6:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sanduku la Mwenyezi Mungu lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, hilo sanduku la Bwana lilikuwamo katika nchi ya Wafilisti muda wa miezi saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Sanduku la BWANA lilipokuwa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sanduku la bwana lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, hilo sanduku la BWANA lilikuwamo katika nchi ya Wafilisti muda wa miezi saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sanduku la Bwana lilipokuwa miezi saba katika nchi ya Wafilisti,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, hilo sanduku la BWANA lilikuwamo katika nchi ya Wafilisti muda wa miezi saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya Sanduku la Yawe kukaa katika inchi ya Wafilistini kwa muda wa miezi saba,